Wachezaji wa kikosi cha Manchester City wakishangilia Ubingwa wa Kombe la Carabao baada ya kuibuka na ushindi katika mechi ya fainali dhidi ya Arsenal, Machi 22, 2026. Picha na Mtandao London, England ...
Katika maisha ya uhusiano wa kimapenzi, watu wengi hujikuta wakihangaika kulazimisha uhusiano ambao tayari umefika mwisho au hauna uhai tena. Moja ya ukweli mgumu lakini muhimu kukubalika ni huu: ...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Mariamu Manyangu enzi za uhai wake. Picha na Maktaba. Simiyu. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimepata pigo kufuatia ...
Dar es Salaam. Yanga imefikisha idadi ya mechi 36 mfululizo za Ligi Kuu ya NBC ilizocheza bila kupoteza baada ya leo, Jumamosi, Machi 21, 2026 kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika ...
Waumini wa Kiislamu kutoka msikiti wa Al mtakuja, Jumuiya ya Ansaari, uliopo Manispaa ya Geita,wakiwa katika swala ya Eid el fitr Leo Ijumaa Machi 20, 2026. Picha na Geofrey Chubwa Geita. Waumini wa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo. Serengeti. Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Burunga wilayani Serengeti mkoani Mara wamefariki dunia huku mmoja akipelekwa hospitalini baada ya kunywa dawa ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa kwa mikoa kadhaa, ikisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari stahiki ili kuepuka ...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja enzi za uhai wake. Picha na Maktaba Simiyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani ...
Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki kadhaa za dotcom zikijinasibu kwamba zitakuwa zinawasaidia wastaafu ‘kwa kununua madeni ya mikopo yote ...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la ...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la ...
Kelele za malori mazito yaliyokuwa yakibeba makaa ya mawe na mizigo mingine mikubwa zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wakazi wa Mtwara kwa miaka kadhaa sasa. Lakini hali hiyo inatarajiwa ...