Waumini wa Kiislamu kutoka msikiti wa Al mtakuja, Jumuiya ya Ansaari, uliopo Manispaa ya Geita,wakiwa katika swala ya Eid el fitr Leo Ijumaa Machi 20, 2026. Picha na Geofrey Chubwa Geita. Waumini wa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo. Serengeti. Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Burunga wilayani Serengeti mkoani Mara wamefariki dunia huku mmoja akipelekwa hospitalini baada ya kunywa dawa ...
Dar es Salaam. Jaji wa kwanza mwanamke nchini na Afrika Mashariki, Julie Catherine Manning amefariki dunia leo Ijumaa, Machi 202, 2026 katika Hospitali ya Hitech Sai Healthcare Upanga jijini Dar es ...
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa lilifanyika Aprili 10, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja enzi za uhai wake. Picha na Maktaba Simiyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa kwa mikoa kadhaa, ikisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari stahiki ili kuepuka ...
Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki kadhaa za dotcom zikijinasibu kwamba zitakuwa zinawasaidia wastaafu ‘kwa kununua madeni ya mikopo yote ...
Dar es Salaam. Sikukuu ya Eid ni miongoni mwa siku muhimu zaidi kwa Waislamu duniani, ikiwa ni hitimisho la ibada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Siku hiyo huadhimishwa kwa furaha, ibada na mshikamano ...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la ...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la ...
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa zaidi ya asilimia 30, baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutishia kulipua kwa nguvu eneo kubwa la gesi Mashariki ya Kati, huku kukiwa na hofu ya bei ya ...
Wakati jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo Alhamisi ikawa zamu ya wenzao kushangilia baada ya wekundu hao kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Pamba ...