Wachezaji wa kikosi cha Manchester City wakishangilia Ubingwa wa Kombe la Carabao baada ya kuibuka na ushindi katika mechi ya fainali dhidi ya Arsenal, Machi 22, 2026. Picha na Mtandao London, England ...
Manchester, England. Kiungo wa Manchester City, Bernado Silva (31), hivi sasa anaweza kuwa anapitia taratibu orodha ya ofa ambazo zimefikishwa mezani kwake na wakala wake, Jorge Mendes, kwa ajili ya ...
London, England. Leo Jumapili, macho ya mashabiki wa soka duniani yataelekezwa katika uwanja wa kihistoria wa Wembley, ambapo vigogo wawili wa soka la England, Manchester City na Arsenal, watashuka ...
Rais wa Marekani, Donald Trump. Tel Aviv. Rais wa Marekani, Donald Trump na Serikali ya Iran wametishia kuongeza makali ya vita yao kwa kulenga miundombinu ya nishati na mafuta katika Ukanda wa Ghuba, ...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Mariamu Manyangu enzi za uhai wake. Picha na Maktaba. Simiyu. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimepata pigo kufuatia ...
Dar es Salaam. Yanga imefikisha idadi ya mechi 36 mfululizo za Ligi Kuu ya NBC ilizocheza bila kupoteza baada ya leo, Jumamosi, Machi 21, 2026 kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika ...
Waumini wa Kiislamu kutoka msikiti wa Al mtakuja, Jumuiya ya Ansaari, uliopo Manispaa ya Geita,wakiwa katika swala ya Eid el fitr Leo Ijumaa Machi 20, 2026. Picha na Geofrey Chubwa Geita. Waumini wa ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa kwa mikoa kadhaa, ikisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari stahiki ili kuepuka ...
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa zaidi ya asilimia 30, baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutishia kulipua kwa nguvu eneo kubwa la gesi Mashariki ya Kati, huku kukiwa na hofu ya bei ya ...
Mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, na Gholamreza Soleimani, aliyekuwa akiongoza kikosi cha wanamgambo wa kujitolea cha Basij wanaodaiwa kuuawa na Israel. Picha na Mtandao Waziri wa Ulinzi wa ...
Waziri wa nishati, Deogratius Ndejembi (katikati) akipokea maelekezo kutoka kwa Mathias Imani wa kwanza kushoto wa kampuni ya Matima Investment. Ndejembi amekagua majiko hayo kabla ya kuzindua ...
Dar es Salaam. Kura zinaendelea kuhesabiwa huko Congo Brazzaville kufuatia uchaguzi wa rais uliofanyika jana, huku ukishuhudia mwitikio mdogo wa wapiga kura. Vituo vya kupigia kura vilifungwa saa kumi ...