JOHANNESBURG: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea ofisi za Red Cross jijini Johannesburg, ambako alikutana na viongozi wakuu wa Southern African Red Cross Society akiwemo rais na ka ...
DAR ES SALAAM: Watoto yatima wapatao 30 kutoka kituo cha Busara Orphanage Center kilichopo Kibada, Kigamboni, wamepata fursa ...
MBEYA: Mbunge wa Jimbo la Kyela, Baraka Mwamengo, amenunua gari lenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 50 na kulikabidhi kwa ...
SHINYANGA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imeeleza kupoteza hekta 4069 za misitu kwa mwaka Tanzania Bara huku ...
MOSHI: Maandalizi ya Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2026 yamekamilika, huku jiji la Moshi likijaa washiriki na wageni kutoka nchi mbalimbali. Tukio litafanyika Jumapili, Machi 22, ka ...
DURBAN: Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea Bandari ya Durban iliyopo nchini Afrika Kusini, kwaajili ya kujionea ...
ARUSHA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Professa Riziki Shemdoe amesema kuwa fedha za mradi wa Sh bilioni 82.5 za ujenzi wa miundombinu ya barabara ...
DAR ES SALAAM; Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ametembelea Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) jijini Dar es Salaam kujadili ushirikiano wa kimawasiliano kuelekea Mei Mosi 2026. Ziara hiyo in ...
JUMLA ya watoto 1,114,918 wenye umri chini ya miaka 10 wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya matone ya polio mkoani Geita kupitia awamu ya kwanza ya utekelezaji wa kampeni ya chanjo hiyo. Mganga Mkuu wa Mko ...
JESHI la Polisi limesema limejipanga kuimarisha hali ya usalama wakati wa maadhimisho ya Eid al-Fitr nchini. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema hali ya usalama nchini ni shwari na maand ...
MAKAMU wa Rais, Emmanuel Nchimbi amesema sekta ya misitu ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi, akibainisha kuwa ...
DODOMA: TUME ya Utumishi wa Umma inatarajia kutumia takribani wiki mbili kwa ajili ya kujadili na kutoa uamuzi wa rufaa na malalamiko yaliyowasilishwa na watumishi wa umma kwa tume hiyo. Akizungumza n ...