DAR ES SALAAM: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar ...
KIGOMA: KIASI cha fedha Sh bilioni 2.6 kitatumika kutekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Makere katika kijiji cha ...
DODOMA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa hadi kufikia Machi 2026 ...
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amezindua mfumo wa kidijitali wa kuwahudumia watumiaji wa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini ...
MKUU wa Shirika la Nishati la Kimataifa (IEA), Fatih Birol ametahadharisha kuwa mgogoro unaoendelea wa nishati Mashariki ya Kati unaweza kushusha uchumi wa dunia ikiwa hali hiyo haitatatuliwa haraka.
DAR ES SALAAM: WAUMINI wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kuishi kwa kuzingatia maadili mema waliyojifunza katika mwezi ...
ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amelihakikishia Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) itaendelea ...
DAR ES SALAAM: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema TRA itaendelea kuwezesha biashara kwa kampuni kutoka nchini China na kushirikiana nayo katika masuala ya kodi huk ...
CAPE TOWN: SERIKALI imetangaza mpango wa kuongeza ndege nane kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua itakayofikisha jumla ya ndege 24 ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha us ...