DAR ES SALAAM :KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea kituo mama cha kushindilia gesi asilia cha Mlimani-CNG jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza namna kituo hicho ...