Huu ni ushindi wake wa kwanza, baada ya kufanya vema katika hatua zote 18 za mashindano hayo kwa kuwa na muda bora wa saa tatu, dakika 16 na sekunde tano. “Huu ni ushindi muhimu sana kwangu. Asanteni ...
Meli ya Grande Florida Palermo, inayomilikiwa na kampuni ya Grimaldi Lines, imekuwa meli ya pili kubeba magari kugeuzwa kuelekea Bandari ya Lamu kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa kiusalama ...
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Tabora, imeyakamata magari 20 yanayofanya safari kutoka Tabora mjini kwenda wilayani Sikonge kwa kutoza abiria nauli kubwa kupita kiwango ...
JESHI la Polisi mkoani Morogoro linefanikiwa kukamata magari madogo matano yaliyokuwa yakisafirisha abiria kwa masafa marefu kinyume na taratibu. Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama ...