Mwonekano wa juu wa eneo la Kisongo, kata ya Matevesi, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia jana na kusababisha mafuriko yaliyofanya uharibifu wa vitu ...
Sudan imetoa onyo la uwezekano wa mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikitaja kupanda kwa viwango vya maji katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White Nile. Abbas Sharaky, Profesa wa ...
Nchini Senegal, kurudi kwa mvua kubwa pia kunamaanisha kurudi kwa hatari isiyoonekana: magonjwa yanayohusishwa na maji. Mafuriko, maji yaliyotuama, mbu... msimu wa mvua ni changamoto ya kiafya. Katika ...
Wananchi wilaya ya Hanang' mkoani Manyara, wanatarajia kunufaika na mradi maji kwa asilimia 100 na kuondokana na magonjwa ambukizi yanayotokana na uchafu wa mazingira na vyanzo vya maji. Mradi huo ...
DAR ES SALAAM: MGOMBEA Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kibamba, Angellah Kairuki, amesema kuwa endapo atachaguliwa atahakikisha barabara zote za jimbo hilo zinajengwa kwa lami na ...
Reginald is a Video Game Guide Contributor for Hardcore Gamer. He has 7 years of professional experience creating walkthroughs and guides for video game media websites specializing in JRPGs and Gacha ...
NHK inajibu maswali kuhusiana na maisha ya kila siku nchini Japani. Ajali zinazohusiana na maji huongezeka kila msimu wa joto wakati watu walio kwenye mapumziko wanapoelekea kwenye mito, fukwe na ...
"Katika hatua hii, watu 68 waliokuwemo ndani ya boti hiyo wamefariki, lakini ni abiria 12 tu kati ya 157 ndio wameokolewa. Hatima ya waliotoweka bado haijulikani," amesema Abdusattor Esoev, Mkuu wa ...
Barabara kuu za jiji la Nairobi na mitaa imefungwa siku nzima huku idadi kubwa ya polisi wakionekana kukabiliana na waandamanaji na kushika doria katika maeneo mbali mbali ya nchi. Na Asha Juma & ...
What was the tweet by Kangana Ranaut? Kangana reposted a tweet about Trump asking Apple CEO Tim Cook not to take product manufacturing to India. She wrote, "What could be the reason of this love loss?
Pakistan inaandaa hatua za kisheria za baada ya India ya kusitisha mkataba muhimu wa kugawana maji ya mto Indus. Haya ni kulingana na waziri mmoja wa serikali ya Pakistan aliyeliarifu shirika la ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results