MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Gabriel Jesus amefichua kuwa ndoto yake ni kurejea Palmeiras ya kwao Brazil. Mwezi uliopita, Rais wa ...
BODI ya Azam Football Club imemtangaza rasmi Octavi Anoro (42), raia wa Hispania, kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu hiyo, kwa mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2027.
UNAMKUMBUKA nyota wa kifaransa aliyeweka heshima kubwa Manchester United? Eric Cantona, ndiye aliyekusudiwa hapa. Sasa jamaa ...
Pantev aliyeiongoza Simba katika mechi tatu, zikiwamo mbili za raundi ya pili ya CAF na moja ya Ligi Kuu, aliliambia ...
YANGA inaendelea kujiimarisha kabla ya kuanza kwa mechi za hatua ya makundi itakapoanzia nyumbani na kama unataka kujua nini kinachoendelea, basi ishu iko hivi. Huko kambini kwa sasa Kocha Pedro ...
CHELSEA inajiandaa kuwasilisha ofa ya takriban Euro 150 milioni kwa ajili ya kumsajili straika wa Atletico Madrid na timu ya ...
KESI iliyokuwa ikiendelea kati ya Yanga na kiungo wa klabu hiyo, Aziz Andabwile imemalizika baada ya pande zote kufikia ...
KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Laizer ameomba mechi moja ya kirafiki ili kukipima kikosi chake kabla ya kukutana na Pamba ...
GWIJI wa Liverpool, Robbie Fowler amebainisha sababu zake zinazomfanya aifute timu hiyo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ...
NDO hivyo. Manchester United inaweza ikapata hasara ya kuwapoteza wachezaji wenye thamani ya Pauni 150 milioni bila ya kupata ...
KIPA wa Tanzania Prisons, Musa Mbisa amezungumzia kitu kilichoongezeka kwa msimu huu akiamini sasa kuwa matukio mengi wakati ...
RAIS wa Shirikisho la Soka Nigeria (NFF), Alhaji Ibrahim Musa Gusau, ametolea maoni ushindi mkubwa wa Super Eagles dhidi ya ...