MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Gabriel Jesus amefichua kuwa ndoto yake ni kurejea Palmeiras ya kwao Brazil. Mwezi uliopita, Rais wa ...
BODI ya Azam Football Club imemtangaza rasmi Octavi Anoro (42), raia wa Hispania, kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu hiyo, kwa mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2027.
UNAMKUMBUKA nyota wa kifaransa aliyeweka heshima kubwa Manchester United? Eric Cantona, ndiye aliyekusudiwa hapa. Sasa jamaa ...
Pantev aliyeiongoza Simba katika mechi tatu, zikiwamo mbili za raundi ya pili ya CAF na moja ya Ligi Kuu, aliliambia ...