Aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Mariamu Manyangu enzi za uhai wake. Picha na Maktaba. Simiyu. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimepata pigo kufuatia ...
Dar es Salaam. Yanga imefikisha idadi ya mechi 36 mfululizo za Ligi Kuu ya NBC ilizocheza bila kupoteza baada ya leo, Jumamosi, Machi 21, 2026 kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika ...
Waumini wa Kiislamu kutoka msikiti wa Al mtakuja, Jumuiya ya Ansaari, uliopo Manispaa ya Geita,wakiwa katika swala ya Eid el fitr Leo Ijumaa Machi 20, 2026. Picha na Geofrey Chubwa Geita. Waumini wa ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa kwa mikoa kadhaa, ikisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari stahiki ili kuepuka ...
Beki wa zamani wa Chelsea na West Bromwich Albion, Paul Clement anashikiliwa na Polisi nchini Hispania baada ya kukutwa akiwa na begi la bangi. Clement mwenye umri wa miaka 47, amekamatwa katika eneo ...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja enzi za uhai wake. Picha na Maktaba Simiyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani ...
Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki kadhaa za dotcom zikijinasibu kwamba zitakuwa zinawasaidia wastaafu ‘kwa kununua madeni ya mikopo yote ...
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa zaidi ya asilimia 30, baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutishia kulipua kwa nguvu eneo kubwa la gesi Mashariki ya Kati, huku kukiwa na hofu ya bei ya ...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la ...
Marekani. Sokwe wa aliyekuwa Mfalme wa Pop, Michael Jackson ametimiza miaka 43 tangu kuzaliwa kwake. Sokwe huyo aliyezaliwa mwaka 1983 anaitwa Bubble. Kwa sasa anaishi katika hifadhi maarufu huko ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya SACP Benjamin Kuzaga akionesha baadhi ya vitu vilivyokamatwa kufuatia operesheni na doria iliyofanywa na jeshi hilo mkoani humo. Mbeya. Watu watano wamefariki dunia ...
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Kanali Michael Mntenenjele akipanda mti katika shule ya sekondari Mkunwa, Halmashauri ya Mtwara. Mtwara. Halmashauri tisa za Mkoa wa Mtwara zimetakiwa kuongeza kasi ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results