Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo. Serengeti. Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Burunga wilayani Serengeti mkoani Mara wamefariki dunia huku mmoja akipelekwa hospitalini baada ya kunywa dawa ...
Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa lilifanyika Aprili 10, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja enzi za uhai wake. Picha na Maktaba Simiyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani ...
Dar es Salaam. Simba jana Alhamisi, Machi 19, 2026 imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Pamba Jiji katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Matokeo hayo yameifanya ...
Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki kadhaa za dotcom zikijinasibu kwamba zitakuwa zinawasaidia wastaafu ‘kwa kununua madeni ya mikopo yote ...
Dar es Salaam. Sikukuu ya Eid ni miongoni mwa siku muhimu zaidi kwa Waislamu duniani, ikiwa ni hitimisho la ibada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Siku hiyo huadhimishwa kwa furaha, ibada na mshikamano ...
Dar es Salaam. Katika kipindi hiki cha mvua, ili kujikinga na radi unapaswa kuepuka kukaa chini ya miti. Epuka kukaa katika eneo la wazi kama ufukweni au uwanjani, kwa sababu radi ikipiga huwa ...
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa zaidi ya asilimia 30, baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutishia kulipua kwa nguvu eneo kubwa la gesi Mashariki ya Kati, huku kukiwa na hofu ya bei ya ...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la ...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la ...