DODOMA: RAIS Samia ameviomba vyama vya siasa nchini kukaa pamoja na kuona wapi wamekosea ili kurekebisha kwa lengo la ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza viongozi serikali kwa ngazi zote nchini kuanzia mawaziri hadi maafisa tarafa kuwa karibu na wananchi ili waweze kufahamu changamoto zao na kuwajibika kwao. Ametoa agi ...
DAR ES SALAAM: KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema mamlaka hiyo itashirikiana na ...
GEITA: SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji wote ambao tayari wanafanya shughuli zao na wale wenye dhamira ya kufanya uwekezaji katika mkoa wa Geita. Kamati ya Ulinzi na ...
DAR ES SALAAM; Ngozi ni kiungo muhimu cha mwili kinachohitaji utunzaji wa mara kwa mara, ili kubaki na afya na kuonekana vizuri. Urembo wa asili ni njia nzuri ya kutunza ngozi yako bila kutumia kemika ...
DODOMA: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, ...
MKOA wa Mara umeweka rekodi mpya katika uzalishaji wa madini baada ya kuzalisha dhahabu yenye uzito wa tani 67.41, ikiwa na ...
BENKI ya NMB imekabidhi Kompyuta tano kwa shule ya msingi Vikaye iliyopo kata ya Igava Wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya. Akizungumza katika makabidhiano hayo, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halma ...
MGOMBEA wa nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Chrisant ...
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14, amemuapisha Waziri Mkuu mteule, Dk.
ARUSHA: SERIKALI za Afrika ikiwemo Tanzania, hospitali binafsi na wataalamu wa teknolojia wamehimizwa kushirikiana katika ...
DODOMA: MBUNGE wa Isimani, William Lukuvi amesema Rais Samia Suluhu Hassan hakukosea kumteua Dk Mwigulu Nchemba awe Waziri ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results