DAR ES SALAAM; YANGA imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo Uwanja wa ...
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14, amemuapisha Waziri Mkuu mteule, Dk.
ARUSHA: SERIKALI za Afrika ikiwemo Tanzania, hospitali binafsi na wataalamu wa teknolojia wamehimizwa kushirikiana katika ...
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kumuapisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa ...
DODOMA: MBUNGE wa Isimani, William Lukuvi amesema Rais Samia Suluhu Hassan hakukosea kumteua Dk Mwigulu Nchemba awe Waziri ...
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba anatajwa kuwa ni mtu mwenye maono ya kujua taifa linataka kwenda wapi. Mbunge wa ...
WABUNGE wa vyama vya upinzani wameeleza matarajio yao kwa Waziri Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ukiwemo usimamizi wa ...
WAZAZI inawapasa wajitahidi kuwapatia watoto makundi ya vyakula, angalau yanayopatikana kwa urahisi kwenye maeneo yao ili ...
UTEUZI wa Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ameandika ukurasa mpya katika historia ...
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ameonya watumishi wa umma wavivu, wazembe na wala rushwa. Dk Mwigulu ameagiza waache ...
WANANCHI mkoani Dodoma wamehimizwa kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wale wanaopata dharura ya kuhitaji huduma ya kuongezewa damu. WANANCHI mkoani Dodoma wamehimizwa kuchangia damu ili kuokoa maisha ...
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kumuapisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa ...