DAR ES SALAAM; YANGA imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo Uwanja wa ...
Swahili phrase:Kibao cha chapati,English translation:Chapati board or rolling board Explanation:“Kibao cha chapati” is a wooden board used in the kitchen when preparing chapati (a type of flatbread ...
ARUSHA: SERIKALI za Afrika ikiwemo Tanzania, hospitali binafsi na wataalamu wa teknolojia wamehimizwa kushirikiana katika ...
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14, amemuapisha Waziri Mkuu mteule, Dk.
MGOMBEA wa nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Chrisant ...
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kumuapisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa ...
DODOMA: MBUNGE wa Isimani, William Lukuvi amesema Rais Samia Suluhu Hassan hakukosea kumteua Dk Mwigulu Nchemba awe Waziri ...
WABUNGE wa vyama vya upinzani wameeleza matarajio yao kwa Waziri Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ukiwemo usimamizi wa ...
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba anatajwa kuwa ni mtu mwenye maono ya kujua taifa linataka kwenda wapi. Mbunge wa ...
UTEUZI wa Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ameandika ukurasa mpya katika historia ...
BENKI ya NMB imekabidhi Kompyuta tano kwa shule ya msingi Vikaye iliyopo kata ya Igava Wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya. Akizungumza katika makabidhiano hayo, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halma ...
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ameonya watumishi wa umma wavivu, wazembe na wala rushwa. Dk Mwigulu ameagiza waache ...