Huu ni ushindi wake wa kwanza, baada ya kufanya vema katika hatua zote 18 za mashindano hayo kwa kuwa na muda bora wa saa tatu, dakika 16 na sekunde tano. “Huu ni ushindi muhimu sana kwangu. Asanteni ...
Meli ya Grande Florida Palermo, inayomilikiwa na kampuni ya Grimaldi Lines, imekuwa meli ya pili kubeba magari kugeuzwa kuelekea Bandari ya Lamu kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa kiusalama ...
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Tabora, imeyakamata magari 20 yanayofanya safari kutoka Tabora mjini kwenda wilayani Sikonge kwa kutoza abiria nauli kubwa kupita kiwango ...
JESHI la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani, limepiga marufuku na kutangaza msako wa matumizi ya namba bandia zenye mwinuko '3D' kwenye magari na pikipiki ambazo husababisha kamera zenye ...
Mkuu wa mauzo na uwendeshaji, Denis Kiwali (kushoto) akimwelezea mfumo wa gari mpya za kutumia umeme, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ( wapili kulia) , katika uzinduzi wa gari ...
Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari, Kenya Safari Rally, yanaendelea kushika kasi mjini Naivasha ambapo madereva mbalimbali duniani, wanachuana kutafuta ubingwa. Nani ataibuka bingwa ?
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results