Huu ni ushindi wake wa kwanza, baada ya kufanya vema katika hatua zote 18 za mashindano hayo kwa kuwa na muda bora wa saa tatu, dakika 16 na sekunde tano. “Huu ni ushindi muhimu sana kwangu. Asanteni ...
JESHI la Polisi mkoani Morogoro linefanikiwa kukamata magari madogo matano yaliyokuwa yakisafirisha abiria kwa masafa marefu kinyume na taratibu. Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limepokea magari manne mapya aina ya Robur Armored TLC300 ukiwa ni mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi hilo nchini. Mkoa wa Mbeya unakuwa mkoa wa kwanza kupata mgao wa magari ...
Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari, Kenya Safari Rally, yanaendelea kushika kasi mjini Naivasha ambapo madereva mbalimbali duniani, wanachuana kutafuta ubingwa. Nani ataibuka bingwa ?