Serikali nchini Madagascar imetangaza marufuku ya kutoka nje usiku kufuatia maandamano yaliyoshuhudia polisi wakitumia risasi za mpira na gesi ya kutowa machozi. Serikali nchini Madagascar imetangaza ...
Wakati China imeacha kununua maharagwe ya soya kutoka Marekani, rais wa Marekani anatishia kuwekewa vikwazo vya mafuta ya kupikia, na hivyo kuchochea zaidi mvutano wa kiuchumi kati ya Washington na ...
Serikali mpya ya Peru imetangaza siku ya Alhamisi nia yake ya kutangaza hali ya hatari katika mji mkuu, Lima, kufuatia wimbi la ghasia za uhalifu zilizopangwa ambazo zimesababisha maandamano makubwa ...
Donald Trump amesema angependa msaada wa China ili kukabiliana na Urusi anapojaribu kukomesha vita nchini Ukraine. Na Lizzy Masinga Chanzo cha picha, Getty Images Moto wa basi uliowaua watu takribani ...
Kanali Michael Randrianirina ameapishwa kuwa Rais mpya wa Madagascar katika Mahakama ya Katiba Kuu jijini Antananarivo. Anamrithi Andry Rajoelina, rais wa zamani aliyeikimbia nchi na baadaye ...
Sudan’s military chief has confirmed the army’s withdrawal from its last western stronghold of el-Fasher after the paramilitary Rapid Support Forces (RSF) declared control of the city. In a televised ...
IRINGA:Utafiti uliofanyika mwaka 2022 na wataalamu wa Quanah Schools kwa kushirikiana na vyuo mbalimbali nchini, umebaini kuwa huduma za maji na umeme bure zinaweza kutekelezwa nchini Tanzania bila ...
Wananchi wa Kijiji cha Langai, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wameeleza kukabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji, hali inayowalazimu kutembea zaidi ya kilomita 10 kila siku kutafuta maji ...
Utekelezaji wa miradi ya maji na afya chini ya uongozi wa Dk. Samia Suluhu Hassan umeleta mabadiliko makubwa kwa wanawake katika wilaya ya Maswa, mkoa wa Simiyu. Wanawake wengi waliokuwa wakipata ...
Atletico Madrid imekasirishwa na hali iliyoikuta katika uwanja wa Emirates na tayari imemewasilisha malalamiko rasmi kwenye Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) dhidi ya Arsenal, kwa kuwaacha ...
JUKWAA la Wakurugenzi wakuu wa Kampuni Tanzania (CEOrt) kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) na Mpango wa Ukuaji wa Kilimo katika Ukanda wa Tanzania (AGCOT) limeandaa ...
Shirika la Umoja wa Mataifa ka Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani WMO linaongeza kasi ya jitihada za kulinda maisha ya watu dhidi ya madhara ya mabadiliko ya tabianchi. Mkutano wake Maalum uliofunguliwa ...