MAKAMU wa Rais, Emmanuel Nchimbi amesema sekta ya misitu ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi, akibainisha kuwa ...
JUMLA ya watoto 1,114,918 wenye umri chini ya miaka 10 wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya matone ya polio mkoani Geita kupitia awamu ya kwanza ya utekelezaji wa kampeni ya chanjo hiyo. Mganga Mkuu wa Mko ...
JESHI la Polisi limesema limejipanga kuimarisha hali ya usalama wakati wa maadhimisho ya Eid al-Fitr nchini. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema hali ya usalama nchini ni shwari na maand ...
DODOMA: Kaimu Meneja wa Mkoa wa TRA Dodoma, Obrey Sillayo, akiambatana na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Mlipakodi pamoja na maafisa wengine wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wametoa mkono wa Eid Fitri ...
DODOMA: TUME ya Utumishi wa Umma inatarajia kutumia takribani wiki mbili kwa ajili ya kujadili na kutoa uamuzi wa rufaa na malalamiko yaliyowasilishwa na watumishi wa umma kwa tume hiyo. Akizungumza n ...
MANYARA: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati (BAWASA) mkoani Manyara imekamilisha mradi wa maji wa Darakuta hadi ...
JOHANNESBURG: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Masuala ya Uchukuzi (NCT) ...
‎MANYARA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara imekabidhi vyakula na zawadi mbalimbali kwa ...
BUKOBA: Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mutasingwa, ametoa msaada kwa makundi maalumu pamoja na wanufaika wa Mfuko ...
MOROGORO: JUMUIYA ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania imetoa vyakula katikakaya zaidi ya 200 zenye uhitaji zinazoishi Kata ya ...
ZANZIBAR: Timu ya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 ndani ya dakika 90 na kujinyakulia kombe pa ...
DODOMA: MKURUGENZI wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore amesema mamlaka itaendelea kushirikiana na vituo vya malezi ya watoto ili kuhakikisha vijana wanapata ujuzi uta ...