Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte amesema uamuzi wa Marekani kupunguza maelfu ya wanajeshi wake barani Ulaya hautadhoofisha ...
Afrika Kusini imeanza kuimarisha uwepo wake wa kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Takriban siku kumi zilizopita, Pretoria ilituma vifaa vya kijeshi na wanajeshi, kati ya 400 na 8,000 ...
Uamuzi wa kuwapunguza wanajeshi 5000 wa Marekani umechukuliwa huku kukiwa na mvutano unaoongezeka baada ya Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz kuhoji mkakati wa Marekani katika vita vya Iran. Marekani ...
Kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu ameshtakiwa kwa makosa ya uhaini. Na Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images Mkurugenzi mtendaji wa kampuni mama ya mtandao ya Meta inayomiliki ...
Katika mji wa Uvira, mkoani Kivu Kusini, hali imebadilika sana katika kipindi cha chini ya saa 24. Mji huu wa mashariki mwa DRC ulianguka chini ya udhibiti wa AFC/M23 mnamo Desemba 10, 2025.