"Tutapinga kesi hii," BBC inasema baada ya kesi ya dola bilioni 5 (pauni bilioni 3.7) kufunguliwa, kufuatia kuhaririwa kimakosa hotuba ya Donald Trump ya Januari 6, 2021 katika makala ya Panorama.