Sadiki ukipenda, inasafiri hadi Pemba huko Zanzibar kukitizama kitabu kikongwe kilichookotwa baharini kikiwa kikavu bila ya kulowana. Wakaazi wanasimulia huku serikali ikijaribu kukitangaza kama ...